3 Comments to “MATOKEO YA NUSU MUHULA KIDATO CHA TANO NOV 2022”

 1. Mimi Mzazi wa Jackline Bornface mwakabwenda .Mwanafunzi kidato Cha Tano anaingia kidato Cha SITA term ijayo .Nimeona matokeo ya MWEZI November 2022 . Matokeo ya term hii sijaona nauliza kulikoni .Naomba kusaidiwa kupata makoe yake Ili nami kama Mzazi niweze kutoa ushauri Kwa mwanangu na kuangni jinsi gani naweza kumsaidia .

  1. Asante kwa ujumbe wako tutayaweka siku nyingi endelea kufuatilia tovuti yetu kwasasa tumeweka ya O-Level baadae tutaweka ya Advance

  2. Ahsante mzazi wa Jackline,
   Matokeo ya TAHHOSA ya kumaliza muhula wao wa kidato cha Tano yalichelewa kidogo ila Sasa yapo katika websites ya shule. Tembelea website utayaona.
   Ahsante.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *