Kikaro High School inao wanafunzi wa Kutwa na wanaoishi Bweni hivyo kama wewe ni mgeni unatokea mbali usihofia kuhusu wapi utapanga shule inayo nafasi kwa wanahamia kutoka mbali kukaa bwenini kwa kipindi chote cha masomo yao kwa ghalama nafuu sana, mazingira safi ya kuridhisha na usalama wa hali ya juu kwa maisha na mali zako
picha za mabweni hizi hapa chini
baadhi ya picha za madarasa
4,106 Views