MATOKEO YA MITIHANI YA MHULA WA PILI KWA O-LEVEL NA MHULA WA KWANZA A-LEVEL YAPO INFOTAALUMA
Matokeo ya mitihani ya ndani kwa kidato cha kwanza, kidato cha tatu na kidato cha tano yanapatikana kwenye mfumo wa INFOTAALUMA. ukiingia kwenye tovuti yetu bofya Page ya mwisho kabisa...