Kikaro High School wanayo Maabara ya kisasa yenye vifaa vya kutosha kwajili ya mitihani ya sayansi kwa wale wa michepuo ya sayansi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na wanafunzi wake hufanya vizuri katika mitihani yao ya taifa
Karibuni Kikaro High School Mtimize ndoto zenu kwa wanafunzi wanaohitaji kufanya vizuri katika masomo ya sayansi
2,527 Views