Home
Karibu Kikaro High School kwa Elimu bora ya mwanao, Shule ina mchanganyiko wa Wasichana na wavulana, Kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha sita Michepuo yote, Pia ni ya kutwa na bweni.

DOWNLOAD FORM-ONE-JOINING-INSTRUCTION-FORM-2021
Ordinary And Advance Level Education.
Kikaro High School inao wanafunzi wa Kutwa na wanaoishi Bweni hivyo kama wewe ni mgeni unatokea mbali usihofia kuhusu wapi utapanga shule inayo nafasi kwa wanahamia kutoka mbali kukaa bwenini...
Kikaro High School kuna Library yenye vitabu vya kutosha kwaajili ya kujisomea wanafunzi mbalimbali kwa michepuo yote na vidato vyote yaani kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita 829 Views
Kikaro High School wanayo Maabara ya kisasa yenye vifaa vya kutosha kwajili ya mitihani ya sayansi kwa wale wa michepuo ya sayansi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na...