Matokeo ya mitihani ya ndani kwa kidato cha kwanza, kidato cha tatu na kidato cha tano yanapatikana kwenye mfumo wa INFOTAALUMA. ukiingia kwenye tovuti yetu bofya Page ya mwisho kabisa juu kulia na uingize username na pasword ambayo mwanao amepatiwa na ofisi ya taaluma Au Bofya HAPA Kuingia moja kwa moja kwenye mfumo wa infotaaluma
ahsanteni sana
1,580 Views